PEN America inasimama kwenye makutano ya fasihi na haki za binadamu ili kulinda haki za kujieleza wazi nchini Marekani na duniani kote. Tunatetea uhuru wa uandishi, tukitambua uwezo wa neno kubadilisha ulimwengu. Jifunze zaidi kwenye pen.org. Tovuti hii imewezeshwa kwa msaada kutoka mashirika ya New York Community Trust na Craig Newmark Philanthropies na Jigsaw.